Sababu 6 Kwa nini Biashara Yako Inahitaji Tovuti.

1. Kupata uaminifu mkubwa wa biashara kutoka kwa wateja Kutokana na kuwepo kwa matumizi makubwa ya intaneti asilimia kubwa ya watu wanaperuzi mtandaoni kutafuta bidhaa mbalimbali zinakopatikana. Kwa kumiliki tovuti, biashara yako itakuwa kwa kasi na kuaminika zaidi. Biashara isiyokua na tovuti hupelekea wateja kukosa Imani nayo, hivyo...